Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com
Uswazi-TANZANIA
'MAMBO VIPI WA TANZANIA' njoo ujumuike na marafiki wa kweli.
Group Founder: uswazitz
Description: Its all about peace. Join now for hot chat, make new frnds, And meet TanZanian people!!
Group Type: Public
Members: 58
Category: Your City/Region > Africa
technology knowledge kutoka kwa mbongo m (1) rogasian
kwa watanzania wenzangu wooote kokote pale....kuna Mtanzania mwenzetu anamtandao wake ambao unafundisha mambo mengi muhimu ya compta kwa lugha ya kitanzania, habr za kuactivate windows, antiviruses, n...
Am Single (1) cynyiese
mimi ni mgeni hapa.natafuta mchumba(mwanaume) toka tanzania.Mimi ni mkristo natoka kenya na namtafuta muislamu.
Boyz&Girls.who have true love? (6) uswazitz
Who have true love btwn girlz and boyz in 2days world!
@VIPAJI MCHANGANYIKO@ (1) ashraphy
1/JE UNAKIPAJI CHOCHOTE? 2/UMEKIKUZAJE? 3/KIMEKUPATIA MAFANIKIO YOYOTE? KUTANA NAMI HAPA TUZUNGUMZE NA TUPEANE USHAURI.
@CHANIKA-MTAZAMO YOUTH CENTRE@ (1) ashraphy
KIKUNDI KIPATIKANACHO CHANIKA-ILALA,DAR ES SALAAM.KINACHOJIHUSISHA NA UELIMISHAJI RIKA KUPITIA SANAA ZA MAONYESHO.
Chacha wngwe (2) benzima
Oya vp kuhusu mzee we2 wa mjengoni maana hadi sasa celewi kilichmuua nyie mnaonaje? Ni zengwe au mola kampenda zaidi?
Tanzania bila ukimwi inawezeka (4) fatmaswt
kweli inawezekana kama wenyendowa wakiwa waaminifu na wapenzi piya kuwa waaminifu katika mahusiano yao tunaweza kuushinda ukimwi,tanzania bila ukimwi inawezekana
Ni kwel dini ni kikwazo cha mapenzi? (2) classyk5
hebu tuambiane jaman
gays bud me (2) mishoga
Curious
Ni kweli rushwa haitoisha? (5) uswazitz
Wa TZ. ni kweli tumeshidwa kuitokomeza rushwa?
hi ppl (1) mussa5
buddy m plizzz
Devel worship building is belo (2) ashraphy
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi kuwa kuna Dini inayo abudu mashetan,jengo lao dar lipo posta..Du! 4me i'm so afraid n u?
Create Your Own App Store